Matthew 4:2-4

2 aBaada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa. 3 bMjaribu akamjia na kumwambia, “Ikiwa wewe ndiye Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate.”

4 cLakini Yesu akajibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.’ ”

Copyright information for SwhNEN